ajira mpya walimu

ajira mpya walimu

Acha Dhambi

Senior Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
145
Reaction score
41
jamani lile file la majina ya walimu wa shahada waliopangiwa kituo halipo tena katika web ya wizara ya elimu, iliyoko ni heading yake tu kulikoni?
 
...iliyoko ni heading yake tu kulikoni?

Kwa taarifa nilizonazo ni kwamba kuna majina ya walimu walioajiriwa miaka ya nyuma yaliingizwa kimakosa kwenye orodha ya majina ya walimu wapya walioajiriwa mwaka huu, hali kadhalika kuna majina ya walimu wapya hayakuwekwa kwenye orodha hiyo ya ajira, hivyo kuna marekebisho yanafanyika na orodha itatoka hivi karibuni.
 
Back
Top Bottom