Ajira mpya watendaji wa vijiji na kata!

Ajira mpya watendaji wa vijiji na kata!

Mr. Masasi

Member
Joined
May 12, 2011
Posts
53
Reaction score
4
Ni sifa zipi zinahitajika ili mtu aweze kuajiliwa kama mtendaji wa kijiji au kata? Elimu yangu ni graduate wa UDOM mwaka huu nina provisional result tu lakin kwa tarifa nilizonazo transcript serikalini ndizo wanazikubali. Msaada wenu wajf
 
Back
Top Bottom