Mr. Masasi
Member
- May 12, 2011
- 53
- 4
Ni sifa zipi zinahitajika ili mtu aweze kuajiliwa kama mtendaji wa kijiji au kata? Elimu yangu ni graduate wa UDOM mwaka huu nina provisional result tu lakin kwa tarifa nilizonazo transcript serikalini ndizo wanazikubali. Msaada wenu wajf