M Mr. Masasi Member Joined May 12, 2011 Posts 53 Reaction score 4 Jul 22, 2011 #1 Ni sifa zipi zinahitajika ili mtu aweze kuajiliwa kama mtendaji wa kijiji au kata? Elimu yangu ni graduate wa UDOM mwaka huu nina provisional result tu lakin kwa tarifa nilizonazo transcript serikalini ndizo wanazikubali. Msaada wenu wajf
Ni sifa zipi zinahitajika ili mtu aweze kuajiliwa kama mtendaji wa kijiji au kata? Elimu yangu ni graduate wa UDOM mwaka huu nina provisional result tu lakin kwa tarifa nilizonazo transcript serikalini ndizo wanazikubali. Msaada wenu wajf
A ACTIVISTA Member Joined Jun 17, 2011 Posts 46 Reaction score 7 Jul 22, 2011 #2 hizo ajira zimetangazwa kwenye source gani.....
E ENGINEERSJYC Member Joined Jul 22, 2011 Posts 6 Reaction score 2 Jul 22, 2011 #3 hi!! Tuambie source mkuu,tufatilie.
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,767 Reaction score 6,575 Jul 22, 2011 #4 mi najua unatangaza ajira kumbe unalalamika mkuu..
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Jul 22, 2011 #5 Source wapi mkuu?
M Mapujds JF-Expert Member Joined May 12, 2011 Posts 1,286 Reaction score 128 Jul 22, 2011 #6 Hana uhakika huyo
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Jul 22, 2011 #7 Bora nikashike chaki 2..