A
Anonymous
Guest
Ajira mpya ya Januari 2026 juu ya Halmashauri ya Monduli kutolipwa pesa za kujikimu ilihali serikali ishaleta na halmashauri zingine washapewa lakini sisi tunazungushwa kila siku mara tutume account namba lakini mpaka leo kimya.
Baadhi ya wajiriwa wenzetu wakiwasumbua sana hadi kufika Ofisi za Utumishi wanapewa hela zao na kuambiwa wakae kimya.
Tunaomba utusaidie kuiweka public hii sintofahamu itasaidia kupata haki yetu maana tushaongea sana na maafisa utumishi lakini bado haisaidii, Serikali iliagiza halmashauri zote ziwe zishalipa hizi pesa za kujikimu hadi kufikia June 15, 2026 kwani ishaweka hela kwenye kila halmashauri na zingine za Arusha tayari washapokea.
Pia soma ~ Ajira Mpya ya Januari 2026, Halmashauri ya Monduli tumelipwa Fedha za Kujikimu