Mimi ni mwajiriwa wa kampuni fulani nimeajiriwa mkataba wa kudumu na mwajiri wangu anatarajia kunisitishia mkataba kwa sababu zake za kunyumba kiuchumi nilipenda kufahamu ni stahiki zipi anatakiwa anilipe naomba ufafanuzi katika swala hili..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.