Ajira mpya za walimu 2013?

Ajira mpya za walimu 2013?

anuary salum

Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
70
Reaction score
4
Ajira mpya za walimu wa Sekondari,shule za msingi na vyuo. Inasemekana zinatoka kati ya JANUARY 5-15 Mwakani. Na wote waliomaliza vyuo wataajiriwa, Maisha mema walimu wetu.
 
ajira mpya za walimu wa sekondari,shule za msingi na vyuo. Inasemekana zinatoka kati ya january 5-15 mwakani. Na wote waliomaliza vyuo wataajiriwa, maisha mema walimu wetu.

wewe uko pande zipi vile
 
Ajira mpya za walimu wa Sekondari,shule za msingi na vyuo. Inasemekana zinatoka kati ya JANUARY 5-15 Mwakani. Na wote waliomaliza vyuo wataajiriwa, Maisha mema walimu wetu.

Walimu, nlimsikia mkuu akisema walimu wakigoma hata form 6 leavers watafundsha,
Hii ni dharau nawaomba mjtahd matokeo yaendelee kuwa mabaya hadi NECTA washndwe kufanya standardization.
 
Hii sio news kwa sababu inajulikana na kila mmoja na sio kweli kwamba waliohitimu, ni wale wa liohitimu na kufuzu masomo ya Ualimu
 
Hii sio news kwa sababu inajulikana na kila mmoja na sio kweli kwamba waliohitimu, ni wale wa liohitimu na kufuzu masomo ya Ualimu

namaanhsha waliohitimu tu,labda hukunielewa bro.
 
Inakuwa ngumu kuingia kichwani kwamba ni nini hasa kinachochelewesha post za ualimu kwa maana wizara ya elimu walishatoa na takwimu za idadi kamili ya walimu iliyowaajiri mwaka huu ambayo ni 28746!
 
Hawana pesa za kulipa posho ndugu. Vumilia jamaa ndo kaenda omba huko kwa Hollandes
 
Hela zpo ujeur wao 2! Lazima wapindshe pndishe ili watz waone cha moto! Wanajiona wenyewe ndo kila ki2 dunian hapa.
 
mmhm, kweli ajira hizi zipo kweli! si walisema early january! sasa ni tarehe za mwishi!
 
Wanazingua tu, ukweli utakuwa pale wakitoa post wala sio maneno maana hata kwenye kanga yapo. So msisikilize chochote wandugu ambao mnasubilia post maana ni siasa tu. Wale ni original politicians.
 
Back
Top Bottom