catyliciousy
Member
- Jan 21, 2013
- 11
- 0
Jamani tuache kudanganyana basi na kurushana roho ,ooh mara nimesikia zinatoka leo mara hazina haina hela,mara mwezi wa saba,jamani kama huna uhakika na taarifa zako kaa kimya kuliko kudanganya vijana wenzako waliochoka kuzisubiri hizo ajira. Tuwe watu wazima na tujadili mambo ya msingi nini kifanyikekuondoa huo utata wa ajira.