Ajira Mpya Za Walimu Ni Kama Kesi Ya Lulu.

Jamani laiti tu zingetoka hizo post leo. Nimetokea shule moja ya private hapa njiro,nimeingia ofsn kwa headmistress kanipiga jicho juu mpaka chini kaniuliza unataka nini? Nikamuambia kazi ya ualimu.kaniuliza umesomea?una diploma?nkamuambia degree,akanijbu hakuna nafasi hapa huku anaendelea kubonyeza simu yake tu. Nimekuwa mdg nikajiona kama sifai popote. Jamani serikali ndio mkombozi wetu huku kwingine madharau tu.
Nurdin tupe ukweli basi!
 

pole ndg. Alie ju mgoje chin.
 
Hiyo ndio Tanzania kila kona ukweli ulio na ungo usishangae sana ndivyo tulivyo
 
Mimi bd nashindwa kuamini km huu ulikuwa uongo.Kama ni uongo Nurdin unastahili laana kali kwako na kizazi chako
 
Jamani wewe uliyeanzisha hii mada mbona umepotea hewani,tupe updates mbona wizara haina ajira mpya mpaka mudahuu
 
Jamani someni kwa hii blog muone naona zimetoka tayari pamojapure.blogspot.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…