Meljons
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 3,105
- 1,406
Jamani laiti tu zingetoka hizo post leo. Nimetokea shule moja ya private hapa njiro,nimeingia ofsn kwa headmistress kanipiga jicho juu mpaka chini kaniuliza unataka nini? Nikamuambia kazi ya ualimu.kaniuliza umesomea?una diploma?nkamuambia degree,akanijbu hakuna nafasi hapa huku anaendelea kubonyeza simu yake tu. Nimekuwa mdg nikajiona kama sifai popote. Jamani serikali ndio mkombozi wetu huku kwingine madharau tu.
Nurdin tupe ukweli basi!
Nurdin tupe ukweli basi!