Ajira mpya za walimu, pesa za kujikimu

Status
Not open for further replies.

Mahug

Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
36
Reaction score
7
Ivi wana JF vipi kiasi cha pesa ya kujikimu anayotakiwa kupewa mwalimu mpya wa ngazi ya Degree anaporipot kazini,

na mahesabu yakoje hadi kupata jumla ya kiasi hicho?

Ni muhimu kujuzana ili kuepuka kuchakachuliwa hela zetu.

Msaada tafadhali!
 
niliambiwa kwa mikoa ambayo mazingira ya kufanyia kazi walimu wapya upewa kianzia maisha cha Tsh 400000 na kidogo, kwa mikoa yenye mazingira magumu ya kufanyia kazi {mikoa ya pembezoni; mtwara, lindi,ruvuma, kigoma, rukwa,katavi} kianzia maisha ni zaidi ya Tsh 600000
 
Nani ka tafsiri mazingira magumu? Posho hutegemea na hadhi YA halmashauri Jiji kiwango cha juu ikifatiwa na manispaa AFU na Halmashauri. Ila Huwa wanatoa flat rate YA 45,0000 per day times 7 days
 
Nani ka tafsiri mazingira magumu? Posho hutegemea na hadhi YA halmashauri Jiji kiwango cha juu ikifatiwa na manispaa AFU na Halmashauri. Ila Huwa wanatoa flat rate YA 45,0000 per day times 7 days

Nani aliyekuambia au unadanganya wenzako tu..... Waalimu vuten subira ajira zitatoka mwezi wa nne kuripot wa tano
 
Mbona unaenda chaka swali jepesi kabisa??
Mtu kauliza mambo mengine we unajibu vingine
Duuh.....

Ha ha ha ha ha kitu cha Pragmatics, pale mtu anapo-violate maxim of Relation. Unamkumbuka Dr.Keya?
 
Me npo kigoma nlajirwa mwaka 2013 ila pesa za kujikimu ni 210000 na zpo costant nchi nzima
 
Walimu mna shida kwahiyo mtu hujaariwa lkn ushaanza kupigia hesabu hela ya kujikimu? Ila kuna kazi zingine dah!
 
Ha ha ha ha ha kitu cha Pragmatics, pale mtu anapo-violate maxim of Relation. Unamkumbuka Dr.Keya?

Hahaha.....naikumbuka hio course!!! LL 317
Jamaa anaongea something out of the Topic..
There is no relationship between what has been asked and what has been replied..........
 
nimeajiriwa 1april 2014 Simanjiro kwa ngazi ya bachelol tulipewa 45000 kwa siku x7. dep ilikua pungufu yet na primary walipata ndgo kabisa. Tahadhali: kuna halmashauri hawatoi pesa zote. wanatoa za sku mbli hadi NNE then inayobaki mtawadai
 
Hapo penye kudai duh!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…