Ajira mpya za walimu, pesa za kujikimu

Ajira mpya za walimu, pesa za kujikimu

Status
Not open for further replies.
mfano itokee hali iendelee hv tu, tutaendelea kujadili hili jambo humu ndani au? I think we have to do smth
 
kwa nini wanaopangiwa mijini ndio wanapata posho kubwa? nini sababu ikiwa kazi ni moja...
 
mnaacha kujibu alichouliza mtoa mada mnatuandikia mistar??.....kweli nchi hii ina wakat mgumu
 
mwezi wa nne uo TAMISEMI bado mabubu pinda kasahau tamko alilotoa wenye shida wanalilia ajira vijijini walimu akuna TZ
 
kama kuchoka tumechoka nilihudhuria ziara ya pinda mkoani iringa municipal alitamka na kisema kuwa mwez wanne wanawaajir walimu hvy anamsisitiza mkurugez walimu weng wapelekwe vijijn akidai mjin wamejaa nq wanahtaji kuwapunguza....
ila inanishangaza mpaka sas ofisi ya wazir mkuu haijatoa tamko lolote lileee ilaaa nimesikia wanasubir kibar kutoka kwa rais kupitia hazina ndogo kupitia TAMISEMI
Hilo tuwe wavumilivu
 
kwa nini wanaopangiwa mijini ndio wanapata posho kubwa? nini sababu ikiwa kazi ni moja...
kupewa posho inategemeana na utaratibu wa halmashauri hvy hiyo ni kwelii kbs....mjin ndo kila kitu wanakusanya mapato mengi kupitaa maelezooo bt usiblame about it
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom