BREAKING NEWS!
ajira zaidi ya elfu 36 za walimu zilizokuwa zitangazwe katikati ya mwezi huu zasitishwa kutokana na dosari zinazoelezwa kuwa ni baadhi ya vyuo hasa vya shahada kushindwa kuwasilisha matokeo ya wahitimu hadi leo hii. Hivyo wizara imesitisha ajira hizo hadi pale dosari hiyo itakaporekebishwa.
Chanzo: TBC-1 (17.03.2015 saa tisa na dk 48)
Sambaza kwa walimu tarajali wote