Ajira mpya za walimu, pesa za kujikimu

Ajira mpya za walimu, pesa za kujikimu

Status
Not open for further replies.
Lengo ni kukabiliana na tatizo la uhaba wa waalimu na sivyo uonavyo wewe. Shule zimejengwa nyingi wakat walimy ni wachache. Kwa nini walomu waliokwisha kuhitim wasiajiriwe mapema ili kusaidia hawa watoto wa familia duni wanaosoma ktk shule hizi za kata?

Mawazo mazur tatiZo system haiwaelew...
 
Kwani mliweka makubaliano kuwa mtaajiriwa??? Jengeni hoja nyingine tuache mazoea ....

kuajiriwa lazma hata kama october pole wew ucye na matumain na accountancy yako utakua mhasibu wa sent za wallet yako
 
Yani walimu anzisheni tuition tu.....wakiwaajiri muda huu mtateseka sana......nionavyo mimi hiyo pesa ishapelekwa kwenye kampeni,daftari la kupigia kura,vitamblisho vya taifa na katiba.....wakiwaajiri kwa sasa hakuna mtakacholipwa matokeo yake mtaanzisha migomo tu.
 
walimu msiwe wazembe umoja ni nguvu mkumbuke mijadala yote haisaidii bila kujua haki iko wap? hawakumbuki hawa bili kuwabusti cha muhimu ni kuandamana tu
 
Yani walimu anzisheni tuition tu.....wakiwaajiri muda huu mtateseka sana......nionavyo mimi hiyo pesa ishapelekwa kwenye kampeni,daftari la kupigia kura,vitamblisho vya taifa na katiba.....wakiwaajiri kwa sasa hakuna mtakacholipwa matokeo yake mtaanzisha migomo tu.

Wataanzia wapi hizo tuition??? Tatizo wamemezeshwa kuwa lazima waajiriwe.... Sisi tulishajiajiri tokea long time first year
 
kwa uboya walionao maccm,uhakika kama kweli waalim mtataka mfuate maadili yenu ya ualimu,msitegemee kama ajira zitatoka kesho au kesho kutwa, maccm wanataka kila kitu wakumbushwe tena kwa mshindo mkubwa wa maandamano,

panya road wa jkt wamesha ajiriwa wamebak wachache cna,kaz kwen kama mtasubir hadi november au mtaingia road na nyny wawaite panya road kaz kwen,ila wizar ya afya,maji na kwingineko wanakula tu bata,

ni bora ninaye tembea na bahasha kila ck maana najuwa mstakabal wa maisha yangu upo mikonon mwangu,kuliko mwl ambaye hajui hata mstakabal wa maisha yake na wala hawez hata kudai haki yake, polen cna walimu.
 
WADAU,,,, we need to do smthn ,, kusea kweli mm mwenyewe nimeshaa choshwa na kero hii coz its better likatoka tamko ,ili tujue then tuamue kusubiri au kafanya mengine.
au tuungane twende kwa mheshimiwa, tujue hatma yetu. sababu wanatupotezea muda bwana, mtu unaacha kufanya kazi zingine kwakuogpa kwendA kuript alafu ,,,kimyaaa. m.....fker ccm.
 
sekta zote wame ajiriwa mmebak walimu hawakumbuki wale bila kuea kuwakumbusha mcpo fanya ivyo october ii hapa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom