Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ajira ni kesho yaan post zitatoka kesho
Tatizo elimu imefanya watu kutegemea kuajiriwa kuliko kujiajiri.... Hahaaaaa walimu walikuwa wanatucheka sana chuo now naona ngoma droo...
kesho sio mbali ngoja tuwe na uvumilivu
ajira ni kesho yaan post zitatoka kesho
Hawa jamaa kwel wanatesa. hata kama yupo mhusika maeneo haya, mnachofanya sio fair kimya mno walimu taraji wanaish kwa kukisia uku ktaaa, ona akina chichimizi, kachoka ameamua atulie tu.
Au kwa vle nyie mna pesa za kujikimu ndo maana amuujui uchungu huu wa walimu dah ..
haya bhana nchi ya amani tanzania..
Mm Nina Imani Chama Cha Mapinduz Hakitauna Ufalme Wa Bingun.
wadau wiki hii ikipita bila majina kutolewa, naona ni bora tupigane na polis hadi kwa kawambwa, ndugu zetu wa diploma na cheti wanajuwa kutengeneza vibomu,watakuwa msitari wa mbele hadi kwa kawambwa, maana haya maccm yanakera na yanachosha pia
Kwa kawaida huwa ni katikati ya mwezi wa 2. Mwaka jana ilitokea dosari wakatoa katikati ya mwezi wa 3, kwa mwaka huu hali ya sintofahamu imejitokeza kwakua tarehe ya katikati ya mwezi imeshapita, yaani tarehe kati ya 15-16iv muda kabisa wa serikali kuajiri n kuanzia mwez wa ngap had ngap??
iv muda kabisa wa serikali kuajiri n kuanzia mwez wa ngap had ngap??