Ajira mpya za walimu, pesa za kujikimu

Ajira mpya za walimu, pesa za kujikimu

Status
Not open for further replies.
Kimyaaaaa serikalini wanaandaa daftari la wapiga kura. Nimesomeshwa na kijiji nakomaje kuulizwa. Au umefeli
 
Wanadai kafeli huyu na atarudisha ada zenu. Boss wangu ni Upe wa enzi zile
 
bunge leo linaanza tuwasikilize labda pinda atatoa tamko na kawambwa kama ipo au aipo walimu wenzangu
 
We usidanganywe na mtu kwa degree unalipwa 45000 mara 7 jumlisha na nauli yako peke yake hizo laki 4 sijui 6 ni uongo na wala haijalishi wilaya kilasehemu bei ni sawa kijana
 
Kusubiri ajira za ualimu ni sawa na kusubiri kampeni za Chadema kurushwa live TBC one.... Poleni waalimu tujarbu kutafuta alternative...

Atnetive gan? mbona too late now!

watishien hao masisiem au mnawaogopa.. mbona kada zngne wameshaajir kwanini walimu? duh polen sana
 
Atnetive gan? mbona too late now!

watishien hao masisiem au mnawaogopa.. mbona kada zngne wameshaajir kwanini walimu? duh polen sana

Tatizo elimu imefanya watu kutegemea kuajiriwa kuliko kujiajiri.... Hahaaaaa walimu walikuwa wanatucheka sana chuo now naona ngoma droo...
 
acha kupotosha umma, mimi ni mwalmu mzoefu kabsaa,mwaka wa 5 huu nafundsha,usitafute umaarufu kuptia ualimu

we bwn huna akili kabisa/ zuzu. kitu gani hapo nimepotosha?? na umaarufu gani hapo nimeutafuta?? nilichokisema ndicho kilichotokea almost mwaka mmoja tu toka tuajiriwe asa ww bila kureason unajifanya unaleta experience ya 5yrs stupid". kama hujui kaa kimya, itafika wakati tutakwambia uweke academic performance hapa tupimane who is better
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom