Ajira mpya za walimu soon

Ajira mpya za walimu soon

Ajira zitatoka tu tena hivi punde

we jamaa unachekesha sn, umeleta thread tukadhani unajua kila kitu mara ukauliza zinatoka lini. Sasa hivi tena unatwambia zinatoka hivi pundo! Kawambwa walimu watachizi mtaani sio pazuri, unamuona chichimizi hapa sio yeye!
 
Hujui hata kuandi njoo nikufunze kuandika mtembea na bahasha za kaki wewe sio PONDO nimesema PUNDE
 
oya muwe wasomi matangazo ya serikali yana kumb namba ilo vipi mbona alina ata kama la kweli mwambie mwandishi akasome.
 
Hiziii ajira zitatufanya tuwe machizi mwaka huuuuu
 

Attachments

  • 1428293997191.jpg
    1428293997191.jpg
    34 KB · Views: 319
Habari za uhakika kutoka tamisemi,, Ajira ni baada ya bunge la bajeti., ama february mwakani
 
jama kivuli kinaishi ipo siku utawala wa bi kilembwe utaisha tuvute subira watatujuza tu kama zipo na itakua lini au la.
 
Barua imetengenezwa hakuna barua ya katibu wa wizara yoyote inayoweza kuwa hivyo haina formula,mbaya nembo ya rangi nk.zerooooooo
 
mm ninaamini ajira za walim zipo na ninatarajia baada ya pasaka zitakuwa hewani.
 
mm ninaamini ajira za walim zipo na ninatarajia baada ya pasaka zitakuwa hewani.
 
ndugu acha kukatisha tamaa vijana ,ajira zipo wala musiwe na wasiwasi wowote taarisheni nauli tu ,muda wowote zitakua hewani (ttr) .wadau ajira zipo vuteni subra.
 
Mh! Wewe mwalimu ni hatari thread unaanzisha wewe kuwapa watu taarifa alafu bado unauliza swali tena.

duuh!!nimecheka Sana ndugu!! Unaleta taarifa afu unauliza tena zitatoka lini!
Kweli ukitaka kuwa mwongo mzuri ni lazima uwe na kumbukumbu nzuri!!
 
Back
Top Bottom