chichimizi
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,074
- 339
- Thread starter
-
- #21
Ajira zitatoka tu tena hivi punde
na usipanik mtu kanitumia hiv pundee
mm naulizaa usilie
pumbavu
wadau na hii kitu jee
Habari za uhakika kutoka tamisemi,, Ajira ni baada ya bunge la bajeti., ama february mwakani
barua feki iyo wadau wala musihangaike ,ajira palepale
Mh! Wewe mwalimu ni hatari thread unaanzisha wewe kuwapa watu taarifa alafu bado unauliza swali tena.