kuna mama afisa elimu msingi kaniambia jana kuwa wameambiwa waanze kuandaa mazingira.walimu ajira mpya wanaripoti 1.5.2015. karibuni utumishi wa umma! sisi tumeshakuwa wazoefu!
Wewe unaroho mbaya kwann unawatisha wenzio kwa taarifa za mtaani? Nyalandu yeye alikuwa anataka kujua kama hawa wanavyotaka kujua kwani w angapi mwakajana walinena kama unavyonena na ikawa ndivyo sivyo? Nchi hii inaongozwa kwa misingi ya demokrasia hivyo iko wazi kama ajira hazipo ingewekwa wazi.Ondoa fikra duni.