AD MostWanted
Senior Member
- Mar 20, 2015
- 108
- 12
Inasikitisha sana tunapopewa fomu za afya alafu ukienda zahanati unatakiwa kulipia elfu 8000 then hakuna kipimo unachofanyiwa na unagongewa muhuri ile fomu tu,
Tunaomba serikali iangalie hili ila kama na hii receipt inajumlishwa ktk marejesho kama ya nauli basi itakuwa sawa maana wamekula ela yao wenyewe yani imezunguka tu!!