Ajira Mpya za Walimu Ulaji kwa Waganga/Matabibu

Ajira Mpya za Walimu Ulaji kwa Waganga/Matabibu

AD MostWanted

Senior Member
Joined
Mar 20, 2015
Posts
108
Reaction score
12
Inasikitisha sana tunapopewa fomu za afya alafu ukienda zahanati unatakiwa kulipia elfu 8000 then hakuna kipimo unachofanyiwa na unagongewa muhuri ile fomu tu,
Tunaomba serikali iangalie hili ila kama na hii receipt inajumlishwa ktk marejesho kama ya nauli basi itakuwa sawa maana wamekula ela yao wenyewe yani imezunguka tu!!
 
we mgeni na tanzania yetu.. mnyonge ndo anayenyongwa siku zote
 
Ninachofahamu mhuri unaolopiwa ni wa wakiri endapo una certify vyeti. Hospitalini ni huduma ya jamii just kuchangia kama elfu mbili si mbaya!
 
Back
Top Bottom