Ajira mpya za Walimu wa Sekondari zasitishwa kwa muda ili kurekebishwa

Status
Not open for further replies.
Tamisemi wafuta majina ya walimu wa sanaa na biashara kwa ajili ya marekebisho

Walisahau kupost majina ya wahitim wa chuo changu; Sebastian Kolowa Memorial University (SEKOMU) ndo nikawaambiwa warekebishe haraka sana!
 
soma hapa
 
Attachments

  • 1430169372284.jpg
    55.2 KB · Views: 2,997
kwel bhana wamefuta ajira zote za walimu wa sekondari shahada na stashahada kwa walimu wa masomo yoe biashara,sayansi na sanaa
 
kwel bhana wamefuta ajira zote za walimu wa sekondari shahada na stashahada kwa walimu wa masomo yoe biashara,sayansi na sanaa

Hapo ndo ujue kuwa SEKOMU ni baba lao! Kesho tu majina yetu yanakuwa hewani!

Kingekuwa chuo kingine hapo wangesugua bench mwezi mzima! Waulizeni St. John mwaka jana walikaa mda gan
 
Marekebisho yatachukua mda gani je inaweza kuathiri ajira za maeneo t.uliyo pagwa?
 
Hapo ndo ujue kuwa SEKOMU ni baba lao! Kesho tu majina yetu yanakuwa hewani!

Kingekuwa chuo kingine hapo wangesugua bench mwezi mzima! Waulizeni St. John mwaka jana walikaa mda gan

Chuo cha TEKU pia ngazi ya cheti hajaajiliwa mwl hata mmoja.
Diploma na Digrii wameajiliwa wote.
Hongeleni zenu kwa kuajiliwa.
 
mwalimu chichimizi umepangiwa wap mkuu.?
 
Sio edit mkuu mzigo upo kwenye tovuti na tovuti imeshafuta majina yote ya dip na degree
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…