elisaria de man u
Member
- Apr 28, 2015
- 16
- 1
tuwe wavumilivu si zaid ya siku mbili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwe wapole kwanzaaaaaaa
Chichi ya kweli ayo source je radio na tv wamesela?
Ilo tangazo isije ikawa matango poli daa iv sio editing kweli afu iv inaweza athir sehem tulizopangiwa?
Aliye na mawasiliano ya TAMISEMI tafadhali...... namba za simu niwachane makavu hawa pimbi.....
Wasitusahau sisi tuliosup mwaka jana
Wakuu,hili tangazo ukilisoma limekaaa kama la kibaguzi vile,linarekebisha dosari lililopo kwa kuwajumuisha walimu wenzetu wa SEKOMU TU,sasa je,walioclear sappu watajumuishwa kwenye dosari hizoo?kama wasipo jumuishwa wafanyeje basi?
Nb:WALIMU WALIOCLEAR NAO NI WALIMU WENYE VIGEZO VYOTE VYA KUPEWA AJIRA KAMA WENGINE SERIKALI ICHUKULIE UZITO HILI SWALA.
ASANTENI NA KARIBUNI
Wanatumia ttcl una hela ya kuwapgia? Chungulia kwny homepage yao utaiona
Aliye na mawasiliano ya TAMISEMI tafadhali...... namba za simu niwachane makavu hawa pimbi.....
mkuu wako wa chuo umewacliana nae kumulza
Only in Tanzania,..... kuna walimu wa Science wamepangwa masomo ya ARTS.........
hawa jamaaa wehu sio kidogoo !!!!
Duhh na mie mdogo wangu ameclear supp lkn cha ajabu hajaona jina lake jamani lohh mungu amsadie katika hili coz maisha ni magumu mweeeh hatariiii