Ajira mpya za Walimu wa Sekondari zasitishwa kwa muda ili kurekebishwa

Ajira mpya za Walimu wa Sekondari zasitishwa kwa muda ili kurekebishwa

Status
Not open for further replies.
Wakuu,hili tangazo ukilisoma limekaaa kama la kibaguzi vile,linarekebisha dosari lililopo kwa kuwajumuisha walimu wenzetu wa SEKOMU TU,sasa je,walioclear sappu watajumuishwa kwenye dosari hizoo?kama wasipo jumuishwa wafanyeje basi?
Nb:WALIMU WALIOCLEAR NAO NI WALIMU WENYE VIGEZO VYOTE VYA KUPEWA AJIRA KAMA WENGINE SERIKALI ICHUKULIE UZITO HILI SWALA.
ASANTENI NA KARIBUNI
 
Chichi ya kweli ayo source je radio na tv wamesela?

tangazo linajieleza wanasema uongozi wa chuo kikuu ch SEBASTIAN KOLOWA walituma majina ya wahitimu wa mwaka 2013 badala ya wahitimu wa mwaka 2014 sasa ndo wanafanya marekebisho.
 
Ilo tangazo isije ikawa matango poli daa iv sio editing kweli afu iv inaweza athir sehem tulizopangiwa?

sitegemei km inaweza ikaathiri coz hata wao watajipa kazi ngumu nahisi watakachofanya ni kuwachomoa wale wa SEKUMO na kupachika wapya ktk vituo hivyohivyo. Wakisema wachezeshe majina yote itawachukua muda!
 
Only in Tanzania,..... kuna walimu wa Science wamepangwa masomo ya ARTS.........
 
Aliye na mawasiliano ya TAMISEMI tafadhali...... namba za simu niwachane makavu hawa pimbi.....
 
Wakuu,hili tangazo ukilisoma limekaaa kama la kibaguzi vile,linarekebisha dosari lililopo kwa kuwajumuisha walimu wenzetu wa SEKOMU TU,sasa je,walioclear sappu watajumuishwa kwenye dosari hizoo?kama wasipo jumuishwa wafanyeje basi?
Nb:WALIMU WALIOCLEAR NAO NI WALIMU WENYE VIGEZO VYOTE VYA KUPEWA AJIRA KAMA WENGINE SERIKALI ICHUKULIE UZITO HILI SWALA.
ASANTENI NA KARIBUNI

Sure hilo pia ni tatizo. Kuna dada yngu pia alipiga diploma na bahat mbaya mwaka jana alikuwa na supp. Ameclear bt hajaona jina lake
 
naombeni kuuliza wakuu ..!!
nilipangia tanga -handeni dc ... sasa naweza kujua ni shule gani nitaenda ???
 
Duhh na mie mdogo wangu ameclear supp lkn cha ajabu hajaona jina lake jamani lohh mungu amsadie katika hili coz maisha ni magumu mweeeh hatariiii
 
Duhh na mie mdogo wangu ameclear supp lkn cha ajabu hajaona jina lake jamani lohh mungu amsadie katika hili coz maisha ni magumu mweeeh hatariiii

wanakuwa wanapangwa kama kweli umeclear .... sababu wengi 2 wamepangwa ..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom