emma nyamboge
Member
- Mar 29, 2015
- 16
- 0
Hicho chuo niwazembe, mie nilisha ripoty halimashauri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ni uzembe hicho chuo kilichowasilisha majina ya Mwaka Jana kimechukuliwa hatua gani? Na inakuwaje unawasilisha majina ya Nyuma hapa napata shaka inawezekana vilevile kuna watu wanapelekwa majina yao TAMISEMI hata chuo hawajagusa kwani Tamisemi hawafanyi verification ya Wahitimu TCU and a bit background ya sifa alizoingilia chuo Jamani hivi nchi hii Viongozi mnafikiri kwa kutumia nini! Maana ya Kuwa na E-Govenment ni nini? Kwa nini msiwe na software inayolink vyuo vyote nchini ambayo inakuwa na uwezo wa Ku export report zozote mnazozitaka ziwe za wahitimu au Taarifa zingine ambapo issue ya kuwapangia vituo walimu ingekuwa ya siku 2 au 3 tu
Mkuu mbona sijakuelewa?
Acha hayo mambo mkuu
Hilo tamko kua wamesitisha mmetoa wap
Chichimizi rafiki yangu acha uoga unapaswa kujua unapoweka majina katika list ili kuyachomoa ni lazima kufanya editing sasa unafikiri watafanyaje editing majina yakiwa hewani so vuteni subira mtajipa stress bure hlf baadaye majina yatolewe tena mr jumanne sagini hawezi kudanganya umma wa watanzania na tangazo liko wazi limeelezea matatizo ya uongozi wa sekomu katika kupeleka majina sahihi wizarani.majina 491 yatibue majina maelf na maelfu hata kama uoni papasa utagusa
Hawa walimu wetu hawa nina mashaka nao lile tangazo halijasema kuwa ajira zenu zimesitishwa bali limesema kuwa "kuondolewa kwa muda majina" na wala sio kusitoshwa kwa ajira mbona nyie walimu hamjiamini mnaboa sasa embu jiaminini.