Ajira mpya za Walimu wa Sekondari zasitishwa kwa muda ili kurekebishwa

Ajira mpya za Walimu wa Sekondari zasitishwa kwa muda ili kurekebishwa

Status
Not open for further replies.
Wadau naomba mnijuze hivi sisi tuliomba kupangiwa vituo vya kazi kwa mwaka huu ndio tumetoswa au,majina yetu mbona hatu yaoni?
 
Wadau naomba mnijuze hivi sisi tuliomba kupangiwa vituo vya kazi kwa mwaka huu ndio tumetoswa au,majina yetu mbona hatu yaoni?

mi tangaz nililo ona ni fresh from the school hawaajir wanao omba kam uliajiriwa ukatosa umeomb tena imekila kwako
 
Jaman marekebish ni mpaka lin mbna hta sion ka kuna dalili na wakt reportting date ni kuanzia tareh 1
 
Subiri majina yaje ndo utagundua SEKOMU ni chuo gani. Ni chuo pekee ambacho wahitimu wake hupangwa mjini kwa 98% coz wanasomea elimu maalum ambayo karibia shule zote zipo TOWN. Walimu toka ud, sua, mzumbe ndo wanaoongoza kupelekwa VIJIJINI!

Kwa reference zaidi chunguza post za mwaka jana ndo utajua nini namaanisha

Duh?. Sasa huko ndo kusibitisha kua chuo kina ubora? Weak point
 
Wakuu,hili tangazo ukilisoma limekaaa kama la kibaguzi vile,linarekebisha dosari lililopo kwa kuwajumuisha walimu wenzetu wa SEKOMU TU,sasa je,walioclear sappu watajumuishwa kwenye dosari hizoo?kama wasipo jumuishwa wafanyeje basi?
Nb:WALIMU WALIOCLEAR NAO NI WALIMU WENYE VIGEZO VYOTE VYA KUPEWA AJIRA KAMA WENGINE SERIKALI ICHUKULIE UZITO HILI SWALA.
ASANTENI NA KARIBUNI

Mwl unapata Supp? Utafundisha nn sasa?
Tutapateje BRN?

Ningekuwa waziri wa Elimu Div I na II ualimu. Mshahara 1.5m kuanzia.

Div III hadi IV, VETA
 
uongozi wa chuo cha SEKUCO sijui SEKUMO tuombeni radhi kwa usumbufu mliotuletea! Mmekaa kimya tu wakati nyie ndo mmelikoroga mimi mnaniboa kinoma!! Yaani uzembe wenu umewatonesa watu vidonda ambavyo vilianza kupona!!

SEKUCO tuombeni radhi.
 
Mwl unapata Supp? Utafundisha nn sasa?
Tutapateje BRN?

Ningekuwa waziri wa Elimu Div I na II ualimu. Mshahara 1.5m kuanzia.

Div III hadi IV, VETA

utakuwa form four leaver wewe! Watu wanazungumzia mambo ya chuo masuala ya GPA wewe unazungumzia DV. Hovyo kabisa!
 
uongozi wa chuo cha SEKUCO sijui SEKUMO tuombeni radhi kwa usumbufu mliotuletea! Mmekaa kimya tu wakati nyie ndo mmelikoroga mimi mnaniboa kinoma!! Yaani uzembe wenu umewatonesa watu vidonda ambavyo vilianza kupona!!

SEKUCO tuombeni radhi.

sio sekomu tu hata tamisemi nao ni zengwe kuna jamaa kapiga bed ya geography ila kapangwa biology na chemistry.
 
nimesapua somo langu mwaka jana wanataka hadi ajira nisapue,dah hii ndio nchi yangu,poa tu.
 
hivi ulee mgomo wa april 30 uliotangazwa na mukoba umeishia wapi
 
Nimefuatilia list ya walimu walio ajiriwa mwaka Jana kutoka chuo hicho SEKUCO (SEKOMU) nimeona majina ni yaleyale yamejirudia kwenye list ya walimu walio ajiriwa mwaka huu kwahiyo kuweni na subira kwa marekebisho!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom