Kuntah Kinte
Senior Member
- Oct 25, 2013
- 133
- 49
Wadau naomba mnijuze hivi sisi tuliomba kupangiwa vituo vya kazi kwa mwaka huu ndio tumetoswa au,majina yetu mbona hatu yaoni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau naomba mnijuze hivi sisi tuliomba kupangiwa vituo vya kazi kwa mwaka huu ndio tumetoswa au,majina yetu mbona hatu yaoni?
Jaman wale tuliopata sap vip au ndio imekula ivo
Uko sahihi kabisaaautawala wa chuo chenu wa hovyo sn ndo walewale wanaopasua kichwa badala ya goti! Ninawasisi na utawala wenu.
ha ha hahaaa.. Wilaya gani mwl.! Dah. Ajiri kweli dili sasa.
Subiri majina yaje ndo utagundua SEKOMU ni chuo gani. Ni chuo pekee ambacho wahitimu wake hupangwa mjini kwa 98% coz wanasomea elimu maalum ambayo karibia shule zote zipo TOWN. Walimu toka ud, sua, mzumbe ndo wanaoongoza kupelekwa VIJIJINI!
Kwa reference zaidi chunguza post za mwaka jana ndo utajua nini namaanisha
Ulishaisapua?kama bado mpaka mwakan ila kama tayar subir ajira yako ipo pale palle
Wakuu,hili tangazo ukilisoma limekaaa kama la kibaguzi vile,linarekebisha dosari lililopo kwa kuwajumuisha walimu wenzetu wa SEKOMU TU,sasa je,walioclear sappu watajumuishwa kwenye dosari hizoo?kama wasipo jumuishwa wafanyeje basi?
Nb:WALIMU WALIOCLEAR NAO NI WALIMU WENYE VIGEZO VYOTE VYA KUPEWA AJIRA KAMA WENGINE SERIKALI ICHUKULIE UZITO HILI SWALA.
ASANTENI NA KARIBUNI
Mwl unapata Supp? Utafundisha nn sasa?
Tutapateje BRN?
Ningekuwa waziri wa Elimu Div I na II ualimu. Mshahara 1.5m kuanzia.
Div III hadi IV, VETA
uongozi wa chuo cha SEKUCO sijui SEKUMO tuombeni radhi kwa usumbufu mliotuletea! Mmekaa kimya tu wakati nyie ndo mmelikoroga mimi mnaniboa kinoma!! Yaani uzembe wenu umewatonesa watu vidonda ambavyo vilianza kupona!!
SEKUCO tuombeni radhi.
Mwl unapata Supp? Utafundisha nn sasa?
Tutapateje BRN?
Ningekuwa waziri wa Elimu Div I na II ualimu. Mshahara 1.5m kuanzia.
Div III hadi IV, VETA
sio sekomu tu hata tamisemi nao ni zengwe kuna jamaa kapiga bed ya geography ila kapangwa biology na chemistry.