KAUPEPO SAUFA
New Member
- Feb 19, 2014
- 3
- 0
Umesikia wapi?
Na pointi ndiyo nini.Hatimaye serikali imetangaza ajira za walimu zipatazo elfu 36 na point kadhaa, ambapo walimu watapangiwa vituo vyao vya kazi muda si mrefu.
naonea wapi majina sasa jameni
naonea wapi majina sasa jameni
naonea wapi majina sasa jameni
Majina bado cjui wanaeka saa ngapi
Ni kweli hata mi nimesikia kwenye gazeti la uhuru
A Father gazeti hili hapa Mkuu...