Ajira mpya za walimu

Ajira mpya za walimu

KAUPEPO SAUFA

New Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
3
Reaction score
0
Hatimaye serikali imetangaza ajira za walimu zipatazo elfu 36 na point kadhaa, ambapo walimu watapangiwa vituo vyao vya kazi muda si mrefu.
 
Wanazinguaaa haoo jamaaa si tushakuwa mateja wala si mwalimu tenaaaa
 
Ni kweli hata mi nimesikia kwenye gazeti la uhuru
 
Poleni na fani wito, mkienda vituo vyenu vya msisahau vibatari maana chaka mbaya
 
Back
Top Bottom