Ajira mpya za walimu

Ajira mpya za walimu

Kama sisi Ajira aprily 1 wanaomaliza mwaka huu 2014mwakani 2015wajipange wataenda vituoni mwezi wa 5
 
Hatimaye serikali imetangaza ajira za walimu zipatazo elfu 36 na point kadhaa, ambapo walimu watapangiwa vituo vyao vya kazi muda si mrefu.

elfu 36 na pointi??

:A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13: you are kidding buddy!
 
Kama ni kutangaza walikwisha tangaza kitambo, hatuhitaji watangaze tena tunataka tujue tumepangiwa wapi?
 
Back
Top Bottom