Ajira mpya

SIRAJI RASHIDI

New Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
1
Reaction score
0
Vijana najua mumesubiri sana lakini swala la ajira nitete bado kwasababu majina huwa yanapelekwa kwanza wilayani kwa wakulgenzi ndio post zitangazwe lakini mpaka sasa majina hayajapelekwa. Kwa hiyo ajira bado ila itakuwa kuanzia tar1 mwez 3 hadi 30. Swala la 26 aprl sio kweli.
 
Mmeanzaaa...kama hakuna anayejua bac c lazima kupost...2achen jaman wenzenu, y ku2tia presha? tuna mioyo jamani dah!
 
inashangaza!!!! wanatutaman walimu dats y wasemaji wengiiiii,
 
wengine kinachowasumbua ni wivu tu wanaona gere..acheni walimu wapewe ajira zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…