Ajira: Muuza Bucha ya nyama anaitajika

Ajira: Muuza Bucha ya nyama anaitajika

Mabala21

Senior Member
Joined
Jul 24, 2021
Posts
139
Reaction score
89
Anaitajika Muuza bucha mwenye uzoefu wa kuuza bucha ya nyama na samaki kwenye jiji LA Dar as salaama, ikiwemo uzoefu wa kufata mzigo kwenye machinjio kama vingunguti na kwingineko.

Bucha iko maeneo ya Bunju B, mshara ni 300,000/= kwa mwezi.

Uzoefu ni muhimu kwani tuna wateja wanaoitaji aina maalumu ya ukataji na sehemu tu za nyama mfano wachoma nyama,wapika sausage na mengine.

Baadae tutaongeza wasio na uzoefu wajifunze. Ni PM kama unavigezo.
 
Back
Top Bottom