Ajira na kazi

Ajira na kazi

WAKUNJOMBE

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Posts
615
Reaction score
624
WANASHERIA NISAIDIENI

Nihatua gani mfanya kazi anapaswa kuchukua ............

(1)pale anapo act cheo flani ambacho nikikubwa kuliko alicho nacho

halafau hapewi acting allowance,na anfanya kazi kwa zaidi ya miaka minne no confirmation

(2) Mfanyakazi ana act cheo flani kwa mda wa miezi sita na anapewa acting allowance,

lakini baada ya miezi sita acting allowance inasitishwa lakini anaendelea kuact bila malipo kwa mda wa miaka zaidi ya miwili na hajapewa maelezo yeyote kama atapewa hicho cheo au hatapewa.

(3)JE kama leo akipewa hicho cheo au hakupewa anaruhusiwa kudai madai ya kipindi chote alicho fanya hiyo kazi bila kulipwa?

(4) Ikitokea akafanya kosa lolote ambalo linamgharim kufukuzwa kazi kwa kipindi hicho ambacho anaact bila malipo
,Sheria inasemaje?

(5)Kama sheria itamruhusu kufanya madai,je base ya madai inakuwa nini?

Natanguliza shukrani zangu kwenu..niwiieni radhi kama kuna sehemu nemekosea katika maandishi yangu.
 
Back
Top Bottom