kelvin.pcb
Senior Member
- Jan 2, 2013
- 175
- 21
nilitegemea dr. aongee mambo ya kujenga nchi na kulikomboa taifa letu katika wimbi la umasikini wa kujitakia. angetumia busara zake kutoa maoni yenye busara kwa wahitimu. sasa hapa anaonesha kuidhalilisha elimu kwa kushabikia sisiem
Kwa watu wenye busara.......faida ya chama inapatikana pale wapigakura wengi wanapokichagua........kunaweza kuwa na wanachama wengi wa CCM wanaweza kuichagua CDM....vilevile inaweza kutokea kwa wanachama wa CDM wakaichagua CCM.......hivyo ishu ya uanachama bado si suala la ushindi kwa chama.......jambo la maana ni kuwa na wapigakura watakao kichagua chama.......KURA NI SIRI.......
Nawakusanya makada wezangu hasa LeMutuz twende tukajilie kuku wetu na kupata vyeti vya mchekeaAmesema wanafunzi wote ambao ni wanachama wa ccm wasipate tabu! wakiona kuna ugumu wowote kimasomo, wamtafute yeye mwana-ccm mwenzao atawasaidia! na kuhusu supplimentary exams wanafunzi wa ccm wasahau! HATA MIMI NINGEKUWA MBALI NA TUKIO NINGEBISHA HABARI HII!
Waislam walipolalamika kuhujumiwa kwenye mitihani tuliwa rushia tope,sasa uwanja umetanuliwa!! Chadema nao ndani!! Sasa dada zakiyah huyu si ni mhadhiri? Wewe unamwita chizi? Unajua kazi ya wahadhiri MACHIZI vyuoni? Wanapelekwa na nani huko ilhali ni machizi? Hiyo ni kauli productive,na hali hiyo ipo mitaani looooong time,kulishapitishwa azimio kwenye mashirika ya umma kupeleka idadi ya wafanyakazi wanaosupport upinzani,ulijua lengo lao?
Nawakusanya makada wezangu hasa LeMutuz twende tukajilie kuku wetu na kupata vyeti vya mchekea
Anafikiria kwa kutumia ------
nahisi anafikiri kwa kutumia nyuchi lake
hiyo idahya mwenyewe chizi nakumbuka tulimtoaga baruti class asitufundishe sababu ya uchizi wake. Kwahiyo usiwe unaleta thread za wehuwehu hapa angeongea mtu wa maana ingekuwa afadhali. Au nawewe kama yeye?
Yawezekana akawa chizi, lkn alichokisema kina mashiko. Wakati wa uchaguzi mbalimbali, si jambo la ajabu kuona wenyeviti na makatibu wa matawi wa CCM wakinakili namba za kadi za kupikia kura za wanachama wao, UMESHAWAHI KUJIULIZA WANAFANYA REFERENCING YA NINI?
Ile karatasi tuliyopigia kura mwaka 2010, ipo kama tiketi ya daladala. Sehemu A unachukua wewe kwenda kupigia kura na kwenye kichungi inabaki namba. Ile kura kweli ilikuwa ya siri?
Mkuu unamfahamu haswa! maana kwa sasa pamoja na kufanya phd ndo kazidi kuwa mburula anaropoka vitu vya ajabu kabisa! eti hakuna supplimentary kwa wana-ccm! shame on you idahya!
Yawezekana akawa chizi, lkn alichokisema kina mashiko. Wakati wa uchaguzi mbalimbali, si jambo la ajabu kuona wenyeviti na makatibu wa matawi wa CCM wakinakili namba za kadi za kupikia kura za wanachama wao, UMESHAWAHI KUJIULIZA WANAFANYA REFERENCING YA NINI?
Ile karatasi tuliyopigia kura mwaka 2010, ipo kama tiketi ya daladala. Sehemu A unachukua wewe kwenda kupigia kura na kwenye kichungi inabaki namba. Ile kura kweli ilikuwa ya siri?
shame kidogo basi? Sana tu kwa yule jamaa kazi kusomea watu minotes yake akiwa class. Kuna siku alituboa alitaka assigment zote tuandike reg. No yake ya open university juu ya cover page sijui ndio.tujue huko alikuwa anaongeza elimu yake. Sijawahi kuona msukuma mburura kama yule tena wale madem white maksi kwao anatoa tu ukimfata ofisini ukajichekesha akaaa anatoa maksi kiulaaini. Nahisi lile jinamizi la kuchemsha na kukimbia upadri lamtafuna.
Anafikiria kwa kutumia ------
msaada: kusup ndio nn?