AJIRA NA KUTOKUSUP NI KWA MWANACCM TU : dr Idahya SEKUMU.

AJIRA NA KUTOKUSUP NI KWA MWANACCM TU : dr Idahya SEKUMU.

Kama siyo mwanaccm ukisup mtafute nepi fasta akupe kadi, akikutoa harakati kama kawa. tz bhana haish vi2ko.
 
Kuna watu humu mambo ya uchama yamewakaa kwenye ubongo mpaka kero. Sasa ww unaanza kufoka pasi na ushahid wa kutosha eti kisa tetesi. Kama huyo mtoa mada anatumia kuleta chuki?. Siasa ni saikolojia na kama mburula utabaki kuendeshwa tu au kutumia eti we unajiita ni mpambanaji.

Unadhan kwa nini achukiwe hadi aanikwe hapa? hapo juu kuna watu wanamfahamu vilivyo, na tukio hilo kweli lilitokea na hayo kweli aliyasema, nukta.
 
Back
Top Bottom