AJIRA NA KUTOKUSUP NI KWA MWANACCM TU : dr Idahya SEKUMU.

Kama siyo mwanaccm ukisup mtafute nepi fasta akupe kadi, akikutoa harakati kama kawa. tz bhana haish vi2ko.
 

Unadhan kwa nini achukiwe hadi aanikwe hapa? hapo juu kuna watu wanamfahamu vilivyo, na tukio hilo kweli lilitokea na hayo kweli aliyasema, nukta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…