stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 259
- 483
Kuna watu wanamiili mikubwa
Muonekano hamna
Elimu hamna
Nawao wanagombania kazi za restaurant, supermarket,dukan,sheli,
Sasa endelea kuchagua sana kazi wakati waajili wanataka watu wanaojua wao watawaongezea thamani ya duka kwa muonekano
Wewe mwenzangu namm mwenye sifa hizo hapo juu usichague kazi we twende kiwandani, kazi za usafi, godauni, basi upunguze lawama kwa serikali au tujiajiri biashara binafsi
Achana na hizo kazi unazochagua chagua maana zina competition nyingi sana na wahitaji ni wengi
Nmetupa jiwe gizani litakaye mkuta ajitokeze