Reality of heaven
Senior Member
- Nov 2, 2022
- 108
- 353
Pole sana, kwa nyongeza, hata hao wahuduku wa makampuni ya simu nafikiri wamepewa maelekezo wasiongee na mteja kwa zaidi ya dakika 5 sijui..ukiongea nao uwe umepata suluhisho au la, unaona anakomaa kukata simu upige tena. Wahudumu wa simu wa ukweli ni wa makapuni ya betting, hawa wapo vizuri sana.Ajira portal kama hamuwezi kuwasaidia watu hamna haja ya kuwa na help desk, maana mtu anakuwa na shida anawapigia toka asubuhi mpaka jioni, simu ipo busy, na ikiita haipokelewi.
Kwanini msiajiri watu special kwa ajili ya kazi hiyo tu! Kama wanavyofanya mitandao ya simu!! Nyinyi ndo mnaoajiri kwa nini mnashindwa kuwa na watumishi wa kutosha kuwahudumia wananchi? Naomba mjitafakari hiki kitengo.
Ww hili swali lako liko kila thread ya ajira portal,kwani tabu iko wapi uki certify ukaweka mkuu?Hivi kwanini wanataka certified copies badala ya cheti original?
Kuna sababu yoyote ya kitaalamu
Mkuu certify tu mana kila mtu amecertify pasipo kufanya ivyo hutoitwa kwenye usaili mkuuHivi kwanini wanataka certified copies badala ya cheti original?
Kuna sababu yoyote ya kitaalamu