Ajira portal, hii maana yake nini?

Msaada tafadhari nimesahau email na password za acc yangu ajira portal baada ya kupata changamoto za kimaisha,anaeweza kunijuza jinsi ya kuirejesha.
 
Msaada tafadhari nimesahau email na password za acc yangu ajira portal baada ya kupata changamoto za kimaisha,anaeweza kunijuza jinsi ya kuirejesha.
Wapigie mkuu wenyewe ndo watakupa maelekezo. mazuri... ikiwezekana wakiwa simu hawapokei, watumie e-mail chap tu unahudumiwa
 
Una masters ya nini na wao, wanataka masters ya nini? Job description inasemaje
 
Hivi unawezaje kuwa na masters halafu usielewe jambo dogo kama hilo?

Hizo masters mnaziokota wapi na mimi nikajiokotee yangu!
Hakuna Cha masters hapo nakwambia, mwenye masters asingeleta Uzi ule unaojieleza vzr hapa kma drs 7 niamini Mimi 🤣🤣
 
Ajira portal kiujumla mfumo wao umeyumba... Hata km una vigezo vya kazi unayoomba kuna baadhi ya akaunti inagoma nyingine inakubali...
 
Ajira portal kiujumla mfumo wao umeyumba... Hata km una vigezo vya kazi unayoomba kuna baadhi ya akaunti inagoma nyingine inakubali...
Mkuu soma error message au wapigie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…