Kisesetusese
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 393
- 615
Hii maana yake ni nini
Nimeshangaa
Kama ni masters ninayo
Nimeshangaa
Kama ni masters ninayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii maana yake ni nini
Wapigie mkuu wenyewe ndo watakupa maelekezo. mazuri... ikiwezekana wakiwa simu hawapokei, watumie e-mail chap tu unahudumiwaMsaada tafadhari nimesahau email na password za acc yangu ajira portal baada ya kupata changamoto za kimaisha,anaeweza kunijuza jinsi ya kuirejesha.
Hakuna Cha masters hapo nakwambia, mwenye masters asingeleta Uzi ule unaojieleza vzr hapa kma drs 7 niamini Mimi 🤣🤣Hivi unawezaje kuwa na masters halafu usielewe jambo dogo kama hilo?
Hizo masters mnaziokota wapi na mimi nikajiokotee yangu!
Mkuu soma error message au wapigieAjira portal kiujumla mfumo wao umeyumba... Hata km una vigezo vya kazi unayoomba kuna baadhi ya akaunti inagoma nyingine inakubali...