Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

singojr

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2014
Posts
5,313
Reaction score
6,895
Niende moja kwa moja kwenye point. Lengo la hii mifumo ni kurahisisha process ya kuomba ajira na kuongeza umakini katika kuhakiki taarifa za mwombaji. Kwenye mfumo mtu anawajibika kuupload copy za vyeti zilizokuwa certified. Kwanini mfumo usiwe intergrated na necta directly.

Kwanini sehemu ya vyuo isiwe intergrated na TCU iwe tu mtu kuingiza namba yake the rest system inamaliza.

Hakuna option ya kudelete, ukiupload ukufanya error yoyote inayohitaji kudelete hiyo option hakuna.

Slowness, kwenye kuupload na kudownload data system inalemewa kwanini hawajawaza kuiongezea uwezo?

Naamini haya mambo yanarekebishika kama mkiamua kuwapunguzia mzigo watumiaji wa system yenu.


Mliyowahi kuapply kupitia mfumo wa ajira portal mlifanyaje mkafanikiwa maana mimi nagomewa.

Lakini pia kwenye kipengele cha academic qualification Hamna option ya kufuta qualification zingine msaada wenu jaman

 
Nimekumbwa na hili tatizo ninapojaribu kufanya application naambiwa error; please update your asce/ cse index numbers na hapo nimetoka ku update tayari.



 
Mkuu nimefanya hivohivo ila bado tatizo lipo palepale inaniandikia error unable to save your data.. multiple records for index number existView attachment 1996588
Anhaa, hapo umeingiza form four index number mara nyingi so ndio maana inakwambia, multiple record for index number chakufanya badilisha email ktk usajili lkn hakikisha email iko valid. Jaribu hvyo mkuu ila form iv index number ni hiyo hiyo yako, ww badilisha email na anza kujisajili upya kwa kujaza information zako, kumbuka majina yawe kama yanavyoonekana ktk cheti cha form iv
 
Nashukuru sana mkuu kwa kujali kwako... niliwapigia sjmu kwa bahati nzuri wakapokea kama ulivyoniambia nilijaza mara nyingi vyeti so amenirekebishia,kwa kuzifuta.. na saahv nimecheki iko poa.. shukran sana chifu
 
Nashukuru sana mkuu kwa kujali kwako... niliwapigia sjmu kwa bahati nzuri wakapokea kama ulivyoniambia nilijaza mara nyingi vyeti so amenirekebishia,kwa kuzifuta.. na saahv nimecheki iko poa.. shukran sana chifu
Pamoja sana mkuu ✌️
 
Ni kwa sababu ni over qualified, umepindukiza vigezo system imekuwa designed kwa kuchanganua vigezo husika kwa maana huwezi kuomba chini ya vigezo ulivyokuwa navyo inaangalia kigezo cha juu zaidi, kama vile huwezi kuomba nafasi ya kazi isiyoendana na elimu yako.

Alaf sidhan kama utaweza ku delete cheti chako uombe nafas ya diploma au chini yake, system pia inakataa hvyo, ukiwa cheti cha degree umeweka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…