Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo huhitaji kufuta. Inatakiwa ulekebishe kulingana na system inavyotakaView attachment 2000303
ila shida yangu kubwa ni kufuta hivyo vyeti vyote nianze kuviweka upya....ebu nisave kiongozi kama unaweza
View attachment 2000308
You're wrong, hilo ni tatizo la mfumo tu. Lazima ujifunze kucheza na mfumo wa portal.Mi nimewaza mbali kidogo. Nadhani iko hivi; mwanafunzi anaemaliza form six na kwenda direct chuo kikuu anakutana na mwenzake aliyemaliza form 4 na kwenda kusoma diploma the anaingia chuo kikuu kwa equivalent, so kwa nyakati za hivikaribuni imeluwa style kwa wazazi wengi kuwapitisha watoto wao hii njia ya kuanza kusoma diploma then chuo hata kama mtoto kafaulu sana form4, wakiamini kama njia ya uhakika kuliko ile ya form 6 ambayo ikitokea mtoto kafeli form 6 inakuwa kama kapoteza mda!. Pia advantage nyingine kwa huyu anaepitia diploma anakuwa na option 2 za kuomba kazi ya degree au diploma. Tofauti na huyu digree ambaye itabidi asubiri hadi nafasi za digree zitangazwe!. So serikali baada ya kushtukia huu mchezo wakamua kuwabana hawa wa equivalent qualification za diploma wakati huo wana digree kuomba kazi za diploma!!..
View attachment 2000303
ila shida yangu kubwa ni kufuta hivyo vyeti vyote nianze kuviweka upya....ebu nisave kiongozi kama unaweza
View attachment 2000308
mjomba apo utakuta category husika imemtema yeye ana computer engineering anomba system administrator wanataka computer science, IT au ICT eti computer engineering hana vigezo daaa psrs hawaMkuu kipi kimekusibu haswa...maana huenda changamoto uliuonayo suluhu yake ikapatkana hapa hapa kwenye kisima Cha maarifa...jf...maana mbona wengi wanatesa tu...
Hakika inasumbua sana na inachosha, mara nyingi unakutana na ujumbe application failed!,Hii kero ya accounts za ajira portal nani anazitatua mbona kama imeundwa kutupa vikwazo tu lengo hasa ni lipi hasa maana hakuna mawasiliano nao mbona tunapelekana ovyo sana wadau
Ni namba ya shule pamoja na yake mtihani, hawahitaji mwaka wanaonesha mfano S9999-9999Pamoja na mwaka. i.e anaweza kutumia e.g S0883.0146.2009
Na tunapo elekea naona watu walio somea Business in Administration itakuwa hawaitwi tena kwa hali hiyo mkuu.mjomba apo utakuta category husika imemtema yeye ana computer engineering anomba system administrator wanataka computer science, IT au ICT eti computer engineering hana vigezo daaa psrs hawa
kuna raia kasoma business admnistration nilikua namuombea nafasi TRA eti kwenye nafasi ya customs officer category wameinclude business administration ila ukiomba nafasi ya tax management officer inagoma business administration inakua excluded sasa unafikoria hawa psrs wametumia vigezo gani kuweka bussiness administration kwenye nafasi ya customs hlf tax managemnet hawajawek daaa systeam yao haifai kabisaaa
Hivi kwenye Eneo la Kusign barua, Ni sehemu Gani inahitajika Ku sign na Una sign kitu Gani?You're wrong, hilo ni tatizo la mfumo tu. Lazima ujifunze kucheza na mfumo wa portal.
Umehitimu chuo kikuu kweli?Hivi kwenye Eneo la Kusign barua, Ni sehemu Gani inahitajika Ku sign na Una sign kitu Gani?