Auditor_07
Member
- Oct 4, 2015
- 74
- 103
kabisa mkuu🙏🏽 Bora uliwastua mapema sana, still bado wengi hawajazingatia.Nishaongeaga sana humu,, ogopa sana statement ambazo ziko bold kwa wale jamaa.. maana wanakuchukulia wewe hufuati taratibu hata kazini utaenda OP
we jaza vile uko navyo tu kama sehemu huna cha kujaza ww acha kama zilivyoBas vyema kwa sasa nna 60% na hazjaongezeka na sjui niziongeze vp,
Asantwe jaza vile uko navyo tu kama sehemu huna cha kujaza ww acha kama zilivyo
Halafu bado vinasomeka. Chuo na Kozi vyote vinajulikana.Sasa mkuu shida yote hii uliyoipata kwa kufutafuta ya nini, kwani tukiona Kuna dhambi.. Sasa unakuwa kama umeiba vyeti Msomi gani hujiamini
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]wewe ni roboti?
Mkuu na mimi ilikua inafanya hivo hivo..Ajira portal account yangu inatatizo la kutosave personal details zangu kwa muda sasa na nimeipambania bila mafanikio, kwa kifupi kwenye account ya ajira portal kuna sehemu ya kujaza personal details ambapo kabla ya chochote lazima uweke namba ya NIDA , shida inakuja nikiiweka namba ya NIDA na kujibu maswali kadhaa ya uthibitisho kuwa ni namba yangu, nayapatia kabisa ila Ajiraportal wanaweka alama za kosa ,
Sasa nashindwa kuelewa system yao ina shida au kitambulisho changu kilichakachuliwa maana NIDA vitambulisho vyao vingi ni tatizo
Kila nikiwapigia simu ni kila siku ni inatumika na ikifika mida ya saa 7 mchana ni haipatikani, sasa najiuliza ivi ingekuwa kampuni binafsi wanaweza fanya ivyo? Au kwakua ni gvt
Boss nina mwaka kila nikijaribu na sikosei napatia kabisa ila system inanikosesha, ebu nielekeze wewe ulikuwa unakoseshwa ulikuwa unakosea kujaza au?Mkuu na mimi ilikua inafanya hivo hivo..
Ila mwisho ilikubali.
Komaa tu kuyajibu.
Wish u all de best
Boss nina mwaka kila nikijaribu na sikosei napatia kabisa ila system inanikosesha, ebu nielekeze wewe ulikuwa unakoseshwa ulikuwa unakosea kujaza au?
OkNakushauri ujaribu kufatilia vizuri taarifa zako za NIDA, aisee wale walokua wanaingiza details wengi wao walikua wanakosea sana details za watu..
Jaribu kutafuta taarifa zako zilizopo NIDA ufanye comparison kama hazina dents, unaeza fika ofisi ya NIDA wakakuchekia
Utumishi wasenge sana nimewapigia simu nawaelezea tatizo wananiambia niwasiliane na Ajiraportal yaani leo nimeshinda nawapigia simu Ajiraportal namba muda wote inatumika na kuna muda inaita bila kupokelewa na kuna muda haipatikani kabisa na ni muda wa kazi na mwendo ni huo huo kila siku.Nenda utumishi dodoma watakusaidia kwa hilo
Ushauri mzuri ila pia si natakiwa kuwasiliana na Ajira portal wale help desk?Nakushauri ujaribu kufatilia vizuri taarifa zako za NIDA, aisee wale walokua wanaingiza details wengi wao walikua wanakosea sana details za watu..
Jaribu kutafuta taarifa zako zilizopo NIDA ufanye comparison kama hazina dents, unaeza fika ofisi ya NIDA wakakuchekia
Jaribu kiweka bila dashes na kama unaweka bila dashes jaribu kinyume chakeBoss nina mwaka kila nikijaribu na sikosei napatia kabisa ila system inanikosesha, ebu nielekeze wewe ulikuwa unakoseshwa ulikuwa unakosea kujaza au?