Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Ka
Nishaongeaga sana humu,, ogopa sana statement ambazo ziko bold kwa wale jamaa.. maana wanakuchukulia wewe hufuati taratibu hata kazini utaenda OP
kabisa mkuu🙏🏽 Bora uliwastua mapema sana, still bado wengi hawajazingatia.
Kazi ipo, hii nayo ni moja ya interview
 
Ajira portal account yangu inatatizo la kutosave personal details zangu kwa muda sasa na nimeipambania bila mafanikio, kwa kifupi kwenye account ya ajira portal kuna sehemu ya kujaza personal details ambapo kabla ya chochote lazima uweke namba ya NIDA , shida inakuja nikiiweka namba ya NIDA na kujibu maswali kadhaa ya uthibitisho kuwa ni namba yangu, nayapatia kabisa ila Ajiraportal wanaweka alama za kosa ,

Sasa nashindwa kuelewa system yao ina shida au kitambulisho changu kilichakachuliwa maana NIDA vitambulisho vyao vingi ni tatizo

Kila nikiwapigia simu ni kila siku ni inatumika na ikifika mida ya saa 7 mchana ni haipatikani, sasa najiuliza ivi ingekuwa kampuni binafsi wanaweza fanya ivyo? Au kwakua ni gvt
Mkuu na mimi ilikua inafanya hivo hivo..
Ila mwisho ilikubali.
Komaa tu kuyajibu.

Wish u all de best
 
Mkuu na mimi ilikua inafanya hivo hivo..
Ila mwisho ilikubali.
Komaa tu kuyajibu.

Wish u all de best
Boss nina mwaka kila nikijaribu na sikosei napatia kabisa ila system inanikosesha, ebu nielekeze wewe ulikuwa unakoseshwa ulikuwa unakosea kujaza au?
 
Boss nina mwaka kila nikijaribu na sikosei napatia kabisa ila system inanikosesha, ebu nielekeze wewe ulikuwa unakoseshwa ulikuwa unakosea kujaza au?

Nakushauri ujaribu kufatilia vizuri taarifa zako za NIDA, aisee wale walokua wanaingiza details wengi wao walikua wanakosea sana details za watu..
Jaribu kutafuta taarifa zako zilizopo NIDA ufanye comparison kama hazina dents, unaeza fika ofisi ya NIDA wakakuchekia
 
Ok
 
Nenda utumishi dodoma watakusaidia kwa hilo
Utumishi wasenge sana nimewapigia simu nawaelezea tatizo wananiambia niwasiliane na Ajiraportal yaani leo nimeshinda nawapigia simu Ajiraportal namba muda wote inatumika na kuna muda inaita bila kupokelewa na kuna muda haipatikani kabisa na ni muda wa kazi na mwendo ni huo huo kila siku.
 
Nakushauri ujaribu kufatilia vizuri taarifa zako za NIDA, aisee wale walokua wanaingiza details wengi wao walikua wanakosea sana details za watu..
Jaribu kutafuta taarifa zako zilizopo NIDA ufanye comparison kama hazina dents, unaeza fika ofisi ya NIDA wakakuchekia
Ushauri mzuri ila pia si natakiwa kuwasiliana na Ajira portal wale help desk?
 
nenda nida kma ulivyoshauriwa na mtu hapo juu maana wale jamaa wa nida kuna wakati wanaingiza taarifa kwa makosa sasa wanapokosea wao wanakuingiza chaka wew mwenye namba kosa la herufi moja linaathiri kila kitu kwnye majibu yako.
 
Enda ofcn kwao hapo postal ujamkuta mwana anawasaidia watu kinamna fln Kama upo dar
 
Boss nina mwaka kila nikijaribu na sikosei napatia kabisa ila system inanikosesha, ebu nielekeze wewe ulikuwa unakoseshwa ulikuwa unakosea kujaza au?
Jaribu kiweka bila dashes na kama unaweka bila dashes jaribu kinyume chake
 
Mimi nimesoma Diploma in accountancy lakini nianza kusoma kuanzia Cheti(certificate) mpaka Diploma Sasa kwenye hizi kazi za TRA nimeiweka na nimefanya certification ya transcript Moja tu yaaan ya DIPLOMA.

Ila sijaiweka ya cheti(certificate) kwasababu niliipoteza hiyo transcript.... Je inaweza kusumbua katika Ajira portal?

Msaada please!
 
Back
Top Bottom