Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Mkuu wakati mwingine hata usililie sana hizo nafasi kwa sababu wanaweza wakaweka course yako ukaapply na ukaitwa vizuri tu ila maswali utakayoenda kukutana nayo kwenye written interview hutaamini macho yako

Kama hauamini uliza walioenda kufanya interview ya Operations Officers TPA maswali waliyokutana nayo ni tofauti na course zilizoorodheshwa pale kwahiyo wakati mwingine shukuru tu maana utaokoa pesa na muda

Mimi mwenyewe zamani nilikuwaga nalalamika kwanini TRA hawaweki course yangu kwenye zile nafasi zao wakati hazichezi mbali na hapo ila nilivyokujaga kuona mitihani yao nikajisemea kumbe afadhali ambavyo hawawekagi
 
Soma vzr huyu dogo kaeleza vzr sana
 
Mtoa mada unalalamika kitu ambacho sio halali yako, ulichosomea na wanaohitajika ni tofauti sana. Em angalia ulichosomea kipo kwenye hiyo post.? Acha kulalamika for nothing.

Ni kweli ajira portal wana ujinga wao ila ishu yako ww acha kulalamika, hujafanyiwa kitu kibaya.
 
Tofauti ya sociology na community development ni nn??
 
Bila shaka wewe ni mgeni wa ajira portal, wakiandika qualifications wanataka na wewe uwe nayo kama wao walivoandika na sio vinginevyo.

Bila shaka wewe ni mgeni wa ajira portal, wakiandika qualifications wanataka na wewe uwe nayo kama wao walivoandika na sio vinginevyo.
Haujatoa jibu sahihi tofauti ya Sociology, Community Development bila kusahau Public Administration ni hipi?
Hao wote si huwa tunasema wamesomea Social science kwa ujumla eeh?
 
Interview yoyote lazima ufanye maandalizi ya kusoma mfano hata izi kazi za Utendaji wa Mtaa/Kijiji bila kusoma zile interview zao ndani ya halmashauri mzee hautoboi unaingia kwenye paper unakutana na mapicha picha tu.. hata mm niikitwa kwenye interview lazima nisome kwanza
 
Ndio n kitu kimoja lkn kwa ajira portal sio kitu kimoja
Umeeleza ukweli mkuu.

Mwenyewe nimekumbana na hichi kitu, nafasi imetolewa nina sifa ila kwenye maelezo ya ajiraportal walipoandika "Shahada"(kiswahili) system inatafsiri "Diploma"(kiingereza). Mimi nina shahada nikiapply inagoma.

Kuna nafasi nyingine wamenyosha maelezo, nimeapply imeenda poa.

Kwa hiyo maelezo ya mfumo ndio yanakufanya uweze au usiweze kuapply.
 
Ndio hvy mkuu, ajira portal wana ujinga mwingi. Hvy mtoa mada hata asilalamike awe mpole tuu, kwa ambaye hajaizoea hii system ataona ameonewa sana ila sisi wengine tumeshapigwa za uso hadi tumeshazoea.
 
Ndio hvy mkuu, ajira portal wana ujinga mwingi. Hvy mtoa mada hata asilalamike awe mpole tuu, kwa ambaye hajaizoea hii system ataona ameonewa sana ila sisi wengine tumeshapigwa za uso hadi tumeshazoea.
Daah so sad
 
Mkuu umeelewa lakini comment yangu
 
Sio we peke ako me nmejaribu tuma nmesoma human resource imegoma hadi nmejichokea asa sielew wanataka kozi zipi?
 
 

Attachments

  • IMG_20220604_125848.png
    154.7 KB · Views: 27
  • IMG_20220604_125918.png
    107 KB · Views: 26
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…