Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Mkuu wakati mwingine hata usililie sana hizo nafasi kwa sababu wanaweza wakaweka course yako ukaapply na ukaitwa vizuri tu ila maswali utakayoenda kukutana nayo kwenye written interview hutaamini macho yako
Kama hauamini uliza walioenda kufanya interview ya Operations Officers TPA maswali waliyokutana nayo ni tofauti na course zilizoorodheshwa pale kwahiyo wakati mwingine shukuru tu maana utaokoa pesa na muda
Mimi mwenyewe zamani nilikuwaga nalalamika kwanini TRA hawaweki course yangu kwenye zile nafasi zao wakati hazichezi mbali na hapo ila nilivyokujaga kuona mitihani yao nikajisemea kumbe afadhali ambavyo hawawekagi