M Mtimbichi
Member
- Feb 3, 2019
- 61
- 43
Acha uboya. usiwakatishe wenzio taanu. inaonesha we mwenyewe huna lolote na msaka tonge tu. umejibanza. unusubiri mida ifike ukabetisitaki kusema chochote...
nacte na utumishi ni mamlaka mbili tofauti...We pimbi tu Kama pimbi wengine.. wale ni wapuuzi. hamna wanachokifanya pale. Kuna kozi zingine ambazo NACTE wanazitambua lakini wao kwenye list hawajaweka. Kwa mfano Kuna vyuo vinatoa Higher Diploma na mtu anapewa cheti kabisa ili wao hawalijui na hawataki kilijua. Bado wanang'ang'ania kwenye Advanced Diploma ambayo kiuhalisia ishafutwa tokea 2010. Hii inaonesha jinsi gani Hawa jamaa wanafanya kazi ambayo hawailewi na hawataki kuijua. Afu pia hawashirikian na hawataki kushirikiana na Taasisi zingine za kielimu Kama vile NACTE na TCU. Hili jipu kabxa na matumizi mabaya ya Mali za umma
katibu@ajira.go.tz..
watumieni ujumbe kuwaeleza shida zenu.., ikiwezekana muwasimange au uwatukane kabxaa.. maana wanachokifanya kula mshahara tu.
Hapo lazima ujumbe uwafikie
na huwaga wanajibu. Kama kitu kinatatulika maana email lazima waifungue na ni ya boss mkuu pale. achaneni na wale wapuuzi ambao hawataki kupokea simu, wanajihisi wao wlishatoboa maisha.
kulalamika huku hakutasaidia za tutajibiwa kiwaki Kama hv huyu "Nzi wa kijani' ambayo anahisi kashatoboa au ndo customer care wa pale.
Nasistiza tena tumie hii email
mtapata matokeo chanya hata kama hatakujibu
katibu@ajira.go.tz
Acha uboya. usiwakatishe wenzio taanu. inaonesha we mwenyewe huna lolote na msaka tonge tu. umejibanza. unusubiri mida ifike ukabeti
tunajua ni Taasisi tofauti. lakini lazima zifanye kazi pamoja. NACTE au TCu ndo wenye uwezo kusema mtu kasoma kitu fulani na kazi zako zitakuwa hzi na hzi. Over...nacte na utumishi ni mamlaka mbili tofauti...
sina aja ya kuendelea kama hata haya mambo madogo yana kupiga chenga mzee...
Ndo umetumwa uje.., ujibu huku jukwaani. kwann msipokee Simu. muwaelekeze vijana.View attachment 2250858
ukisha vielewa wala huta piga kelele kma mweu
Vijana..,Msikatishwe tamaa... na huyu boya mapambano yaendelee.., Kama ametumwa she ajibu huku..., anaishi dwaje kupokea simu.View attachment 2250858
ukisha vielewa wala huta piga kelele kma mweu
Vijana..,Msikatishwe tamaa... na huyu boya mapambano yaendelee.., Kama ametumwa she ajibu huku..., anaishi dwaje kupokea simu.View attachment 2250858
ukisha vielewa wala huta piga kelele kma mweu
katibu@ajira.go.tzVijana..,Msikatishwe tamaa... na huyu boya mapambano yaendelee.., Kama ametumwa she ajibu huku..., anaishi dwaje kupokea simu.
Vijana tumeni ujumbe kupitia email kueleza shida zenu
Au una email ya kigogo yeyote serikalini au au ofisi yeyote kubwa unaweza kuwatumia pia. Kama unaona email yako umetumia sehemu fulani(unawasiliana na watu) inaweze kuja ikaleta matatizo.. create new email then itumie kufunguka ya moyoni. Kikubwa ujumbe uwafikie tu.
kulalamika tu huku jukwaani itachukua time Sana ujumbe kuwafikia, zaidi kujibiwa na kukatishwa tamaa na wapuuzi wenye roho mbaya ambaye alipataga ajira hata bila interview...?
Anakuja huku kutu discourage
una tatizo ndio maana nasema endelea kupambana na tatizo ulilo nalo kwanza...tunajua ni Taasisi tofauti. lakini lazima zifanye kazi pamoja. NACTE au TCu ndo wenye uwezo kusema mtu kasoma kitu fulani na kazi zako zitakuwa hzi na hzi. Over...
sina mamlka mimi ni msaka ajira kama wewe... kama una koneksheni nisaidie mkuu tafadhariNdo umetumwa uje.., ujibu huku jukwaani. kwann msipokee Simu. muwaelekeze vijana.
Mimi kinachoniudhi zaidi ya yote hayo, ni kwamba unaweza itwa kwenye interview Dodoma kutoka mbali sana ujitegemee kwa nauli yako kwenda na kurudi halafu utakuta labda wanahitaji watu 200 tu lakini wamewaita watu kwenye interview zaidi ya 3000, lakini kibaya zaidi katika hao elfu 3000 wanakuwa hawawahoji wote wengine wanaambiwa tu kirahisi rahisi nyinyi rudini makwenu hamjachaguliwa bila ya hata hiyo interview.Jamani hawa ajira portal ni wakatili sana, nashindwa kuwaelewa kwanini wanakuwa na ubaguzi kiasi hiki..
Soma kwa makini izo qualifications na hapo kuna kitu wameandika from any equivalent qualifications lakini wananikataa mimi wa Community Development.. kweli jamani Sociology, Law, Public Administration sio Equivalent na Community Development!!
Hawa ajira portal wanajua kukatisha tamaa watu kuhusu ndoto za kuajiriwa, Mh. Rais Samia naomba sikia kilio hiki Waziri Jenista Mhagama sikia kilio hiki mama 😢😭😭
nimeumia sana kama kijana mwenye ndoto za kuajiriwa na serikali yangu pendwa. Yatapita tu 🇹🇿 Nakupenda Tanzania.
View attachment 2249732
Thanks bro👍unaweza kuandika kwa mkono lakini hakikisha imesainiwa.
Ndugu mimi mwenyewe ilinigomea na development community nikajua ni mimi tuJamani hawa ajira portal ni wakatili sana, nashindwa kuwaelewa kwanini wanakuwa na ubaguzi kiasi hiki..
Soma kwa makini izo qualifications na hapo kuna kitu wameandika from any equivalent qualifications lakini wananikataa mimi wa Community Development.. kweli jamani Sociology, Law, Public Administration sio Equivalent na Community Development!!
Hawa ajira portal wanajua kukatisha tamaa watu kuhusu ndoto za kuajiriwa, Mh. Rais Samia naomba sikia kilio hiki Waziri Jenista Mhagama sikia kilio hiki mama [emoji22][emoji24][emoji24]
nimeumia sana kama kijana mwenye ndoto za kuajiriwa na serikali yangu pendwa. Yatapita tu [emoji1241] Nakupenda Tanzania.
View attachment 2249732
acha kiherehere.., kuweka logo ya CMM ili ututishe au..?sina mamlka mimi ni msaka ajira kama wewe... kama una koneksheni nisaidie mkuu tafadhari
Na ni kwann vyuo vimeweka title tofauti kama kweli ni kitu kimoja.?diploma in pharmacy/diploma in pharmaceutical science
mfumo unatambua kma vitu viwili tofauti
mambo ya ajabu haya
sifahamu kwa kweli lakini mtaala ni mmojaNa ni kwann vyuo vimeweka title tofauti kama kweli ni kitu kimoja.?
Aliyeshiba ni ngumu kumkumbuka mwenye njaadiploma in pharmacy/diploma in pharmaceutical science
mfumo unatambua kma vitu viwili tofauti
mambo ya ajabu haya