Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

Mimi pia inaniletea hii kitu tangu juzi,

tatizo nini na qualification ninayo ambayo ni bachelor na position inahitaji bachelor

Msaada kwa mwenye uelewa
Screenshot_20220607-085323.jpg
 
Naomba msaada nataka kutoa academic qualifications za advance na degree ili ibaki ya olevel. Natatuaje suala Hilo?
 
Naomba msaada nataka kutoa academic qualifications za advance na degree ili ibaki ya olevel. Natatuaje suala Hilo?
 
Ingia kwa account yk nenda kaedit tarifa kwa luifuta uliyo kusudia
 
Asanteni kwa mawazo wakuu,at least nimefikia 92% katika kujaza taarifa. Naomba mniombeeeee.

Bado tu recommendation letter.

Sasa sijui nitafanikiwa?
 
We kama mm nataka kufanya hvyo lkn sehemu ya delete hamna msaada apo
 
Kwani hyo recommended letter ni lazima..?
Mkuu nadhani ni kwa yule ambaye alikuwa anafanya au anayefanya kazi sehemu fulani ndo anaambatanisha.

Maana kama ulivyoona pale pana working experience, kama ulifanya na kama unaendelea fanya.So kigezo hiki ndo kinapelelea kuambatanisha recommendation letter.

Taarifa zangu zimefika 92% kabla ya hii letter, sasa sijui zitatimia 100%? Na je ni lazima zifike 100?
 
Naomba msaada nataka kutoa academic qualifications za advance na degree ili ibaki ya olevel. Natatuaje suala Hilo?
Ukiweka umeweka, mfumo unaruhusu kubadilisha attachment peke yake.
 
Back
Top Bottom