Bc lawama asipewe ajira portal pekee yake.sifahamu kwa kweli lakini mtaala ni mmoja
jaribu ku update kwenye acedemic qualifications. ikishindika add tena itakubali.Posts 2 zenye course nilosoma na imekua mentioned kabisa kwenye qualifications zinazohitajika, lakini kila nikitaka fanya Application naandikiwa Job Application Failed na kwamba niangalie vizuri Degree zinazohitajika. Sasa kama kuna watu ambao tayari wamewa target ni bora wasiwe wanatangaza hizi post. Inakera.
Mkuu, asante kwa ushauri nitafanya hivo.jaribu ku update kwenye acedemic qualifications. ikishindika add tena itakubali.
hata mimi nimejaribu nimeamua kuachana naoTushafanya sana hilo lakini wapi...
sawa kaka wanaofanikiwa siku zote husifu akili zaoMsiwe mnasoma kozi za ajabu ajabu
Njoo pm chiefdiploma in pharmacy/diploma in pharmaceutical science
mfumo unatambua kma vitu viwili tofauti
mambo ya ajabu haya
Aliyeshiba ni ngumu kumkumbuka mwenye njaadiploma in pharmacy/diploma in pharmaceutical science
mfumo unatambua kma vitu viwili tofauti
mambo ya ajabu haya
Sawa mkuu. Heri yenu mlosoma kozi nzuri, maana mna enjoy life.Msiwe mnasoma kozi za ajabu ajabu
Namimi pia nimeshindwa kabisa kulog in, nimejaribu option ya forgot password ila sijatumiwa email ya kuactivate [emoji849] ngoja waje watupe muongozo.
Ooh haya ila sasa hadi lini maana tunakimbizana na deadlines za applications 🤔Ajira portal iko down, tuipe muda kidogo, hata kufungua akaunti mpya inashindikana ku activate.
Aaah nahisi kuna mbinu mbinu mama.Very disappointing sn.Namimi pia nimeshindwa kabisa kulog in, nimejaribu option ya forgot password ila sijatumiwa email ya kuactivate [emoji849] ngoja waje watupe muongozo.
Hili ndo changamoto kwetu.Niliambiwa nipambane usiku aisee niliamka saa nane but account haifunguki.Ooh haya ila sasa hadi lini maana tunakimbizana na deadlines za applications [emoji848]