Asante mkuuPoleni kwa changamoto
course yako ni ipi?Mimi pia inaniletea hii kitu tangu juzi,
tatizo nini na qualification ninayo ambayo ni bachelor na position inahitaji bachelor
Msaada kwa mwenye uelewaView attachment 2252912
Tumia MAGAZIJUTONaomba msaada nataka kutoa academic qualifications za advance na degree ili ibaki ya olevel. Natatuaje suala Hilo?
Nurse officer mkuucourse yako ni ipi?
kila la kheri kwakeIngia kwa account yk nenda kaedit tarifa kwa luifuta uliyo kusudia
Kwani hyo recommended letter ni lazima..?Asanteni kwa mawazo wakuu,at least nimefikia 92% katika kujaza taarifa. Naomba mniombeeeee.
Bado tu recommendation letter.
Sasa sijui nitafanikiwa?
Mkuu nadhani ni kwa yule ambaye alikuwa anafanya au anayefanya kazi sehemu fulani ndo anaambatanisha.Kwani hyo recommended letter ni lazima..?
Mwenye ushauri katika hiliHaiwezekani kufuta qualification
Sasa si ushaambiwa kuwa hakuna option ya kufuta Sasa tukushauri nini Mkuu..?Mwenye ushauri katika hili
Ukiweka umeweka, mfumo unaruhusu kubadilisha attachment peke yake.Naomba msaada nataka kutoa academic qualifications za advance na degree ili ibaki ya olevel. Natatuaje suala Hilo?